HII HAPA SASA
Karibu Prince stephano Disability world
Tunapenda kuwajulisha sasa tunatoa huduma za viungo bandia nzuri kabisa wasiliana nasi kwa simu namba +255 768639060/ 0717455470, tutakupatia uzoefu wa kutumia viungo bandia na msaada zaidi wa kununua viungo mbadala na gharama zake katika hospital zifuatazo KCMC Hospital inayopatikana MOSHI
KAGONDO Hospital inayopatikana kule BUKOBA, KAGERA kwa huduma za kisasa za viungo bandia na bei nafuu wasiliana nasi tunakukaribisha sana;-Bila kuwasahau LAKE VICTORIA DISABILITY Hospital, near nyabange ward in MUSOMA municipal , MARA Region. kwa huduma nzuri za viungo mbadala kama vile miguu, mikono n.k wasiliana nasi tuko tayari kukuhudumia;-NB. wasiliana nasi kulingana na uhitaji wako tutakuelekeza wapi utapata huduma unayoihitaji na itakayo kusaidia CALL US: 0768639060 or 0717455470
Prince stephano Disability world Bring back your Hope
Prepared by Prince stephano disability world