Sunday, 27 March 2022

kuanzia leo Tarehe 28/03/2022
The Awaited ONE HAND Organization, inafanya registration/usajili kwa yeyote mwenye mtoto alie na mdomo Sungura yani cleft lip/palate
Baada ya usajili tutafanya operation za watoto hawa
Matibabu ni bure, popote ulipo tutakutumia nauli ya kuja na kurudi nyumbani kwako
Wasiliana na Taho kwa namba
0767291030
Au tembelea website yao.

Prince stephano disability world tupo kukufikishia huduma/habari karibu zinazo husu ulimwengu wa walemavu












Thursday, 17 March 2022

MH.UMMY MWALIMU KUKABIDHI MIGUU BANDIA NA FIMBO KWA WALEMAVU Hii ni Prince stephano Disability world



TAREHE 05/03/2022 KATIKA HAFLA YA KUKABIDHI MIGUU BANDIA NA FIMBO KWA WALEMAVU ILIYOFANYIKA MKOANI ARUSHA MGENI RASMI AKIWA NI MH. UMMY MWALIMU , KWA UDHAMINI WA KAMAL WATENGENEZAJI WA NONDO NCHINI TANZANIA PRINCE STEPHANO DISABILITY WORLD TUNAISHUKURU SANA KAMAL & SERIKALI KUUKUMBUKA ULIMWENGU WA WALEMAVU TANZANIA (TUNASEMA ASANTE)

https://www.youtube.com/watch?v=iVY2NjnoRVo

Sunday, 6 March 2022

MIGUU BANDIA KUKABIDHIWA MKOANI ARUSHA 05/03/2022

                                                         https://youtu.be/iVY2NjnoRVo

MH. Ummy Mwalimu, akabidhi leo 05/03/2022  viungo bandia  mkoani ARUSHA kufuatia  Hafla ya kukabidhi  miguu bandia na fimbo kwa walemavu mkoani ARUSHA. usisahau ku like& SUBSCRIBE youtube channel https://youtu.be/iVY2NjnoRVo kwa taarifa nyingine zinazohusu  walemavu Tanzania. WE AS ONE PRINCE STEPHANO DISABILITY WORLD TO BRING BACK HOPE TO DISABILILITIES


WE STAND WITH OUR FELLOW DISABILITIES

Disabled people face more challenges , Prince stephano disabilities world we are here give to them hope again.