Prince stephano Disability world tunapenda kutoa pole IZAAS MEDICAL PROJECT CENTER kwa kumpoteza mwasisi wa NGO's ya IZAAS MEDICAL PROJECT, Mzee Raza Abdul Fazal ambae amesaidia walemavu kwa muda mrefu kwa kuwapatia viungo bandia na kuwasafilisha watu wengine kwa ajili ya matibabu.👇
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA
JINA LAKE LIBARIKIWE....... AMEN
REST IN PEACE