Saturday, 4 September 2021

HII HAPA SASA 

Karibu Prince stephano  Disability  world  

Tunapenda kuwajulisha  sasa tunatoa  huduma za viungo  bandia  nzuri  kabisa  wasiliana  nasi  kwa  simu  namba  +255 768639060/ 0717455470, tutakupatia  uzoefu  wa kutumia  viungo  bandia  na  msaada zaidi  wa kununua  viungo  mbadala  na gharama zake katika  hospital  zifuatazo  KCMC Hospital  inayopatikana  MOSHI






KAGONDO  Hospital inayopatikana  kule  BUKOBA, KAGERA  kwa huduma  za kisasa za viungo  bandia na  bei  nafuu  wasiliana  nasi  tunakukaribisha  sana;-










Bila kuwasahau  LAKE VICTORIA  DISABILITY  Hospital, near nyabange ward in MUSOMA municipal , MARA Region. kwa  huduma  nzuri  za viungo  mbadala  kama  vile  miguu, mikono  n.k  wasiliana  nasi tuko  tayari  kukuhudumia;-






NB.  wasiliana nasi  kulingana  na  uhitaji  wako  tutakuelekeza wapi  utapata huduma  unayoihitaji  na itakayo kusaidia  

CALL US: 0768639060 or  0717455470 


Prince stephano Disability world Bring  back  your Hope  
Prepared by   Prince stephano disability world  


WE STAND WITH OUR FELLOW DISABILITIES

Disabled people face more challenges , Prince stephano disabilities world we are here give to them hope again.